Bei : TSH1000.00

Darasa la Kwanza (1)

  • 7

Ndani ya dirisha hili utapata Masomo ya ziada ambayo Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza (01) wa shule yoyote anaweza kuyatumia ili kujiongezea maarifa mbalimbali nje ya Mtaala wa Elimu ya Tanzania.

Masomo

Hesabu (Numeracy)

Hesabu ni nzuri sana. Kila mtoto anapaswa kujua hesabu kwa vile huleta furaha kwenye maisha ya kila siku.