MAADILI YETU YA MSINGI

Jukwaa hili lililozingatia Mtaala wa elimu ya Tanzania lina mfumo uliorahisishwa zaidi ili kumfanya kila mtumiaji afurahie. Smart Elimu inaruhusu kujifunza mtandaoni na nje ya mtandao kupitia kompyuta

UGUNDUZI

Silaha yetu kuu ni ugunduzi ili kutoa yaliyo bora kwenye elimu.

UWAJIBIKAJI

Sisi pamoja na Wadau wetu tunawajibika kwenye majukumu yetu

SHIRIKISHAJI

Fumbuzi zetu za kielimu ni shirikishi

UADILIFU

Tunawajali wateja wetu kwa kuwapa Fumbuzi za kuaminika.

Masomo Yaliyomo

Kupitia mfumo huu ambao umezingatia mtaala wa elimu ya Tanzania unakuwezesha kupata masomo zaidi ya 1,000 katika mfumo wa "video",picha,sauti na maandishi

Maelfu ya wanafunzi wanatumia Smart Elimu katika kujiongezea ufahamu wa taaluma zao, wewe unasubiri nini? jiunge nasi leo

0

Wanafunzi

0

Wazazi

0

Walimu

0

Wadau wetu

Hauna Akaunti?

Ushuhuda